Mh. Waziri Mkuu mstaafu ni mmoja wa Makada wa CCM waliochukua
Fomu kuwania kupitishwa kwenye nafasi ya Urais CCM lakini hakufanikiwa kupita
kwenye nafasi hiyo.
Frederick
Tluway Sumaye ametumikia miaka kumi kwenye nafasi ya
Uwaziri Mkuu wakati
Mh. Benjamin William Mkapa akiwa Rais wa
Tanzania kuanzia mwaka 1995 mpaka 2005.
Yeye aling'atuka CCM baada ya Waziri Mstaafu Edwarda Lowassa na kujiunga CHADEMA.
Mh. Edward Ngoyai Lowasa |
Hivyo nawengine pia waliendelea kuenguka na kujiunga na Ukawa
Nawaliofwata zaidi ni kama hivi
Mh. James Lembeli |
Esther Bulaya |
Mh. Edward Lowassa
Alichaguliwa kuwa Waziri Mkuu wa kumi tarehe 30 Desemba 2005 akajiuzulu tarehe 7 Februari 2008 kwa kashifa ya Richmond. Sasa ni mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Mnamo tarehe 28 Julai 2015 alijunga rasmi na chama cha upinzani cha CHADEMA
. Hiyo ni baada ya kukatwa jina lake katika kinyang'anyiro cha Urais kupitia chama tawala cha Chama cha Mapinduzi. CCM
- Umoja wa katiba ya wananchi,
Uliasisiwa wakati wa Bunge Maalum la Katiba mwaka 2014,
lengo likiwa kuunganisha nguvu za wabunge wote wabunge hilo kwa ajili ya
kusimamia na kutetea maoni ya wananchi yaliyo wasilishwa kupitia rasimu ya pili
ya katiba iliyo tayarishwa na Tume ya mabadiliko ya
katiba.
Umoja huu ulihusisha wabunge kutoka kundi lililo itwa 201.
Baadaye umoja huu ulibaki na wabunge kutoka vyama vya NLD, NCCR – Mageuzi, CUF
na CHADEMA.
MAPOKEZI YALIVYO KUWA NA MUUNDO WA UKAWA VIONGOZI
No comments:
Post a Comment