Friday, October 17, 2014

LIFE INSPIRATION

(MAKE THE WORLD A BETTER PLACE TO LIVE)
Tangu hapo zamani maisha hayajawai kuwa maraisi kila mtu anasema ni magumu, Utajiri auangalii una mshahara kiasi gani ni unaweka akiba kiasi gani?
Almight Allah! atakuwa na wewe siku zote na ukimwomba kupitia yeye, Ndugu jamaa wasipo kuwa nawe kuna kitu ndani yako unacho takiwa kukitambua, tumeumbwa kwa sababu.
Ukisha tambua sababu hatima ya maishautaweza kuielewa na kufwata kiwango unachostaili kufika apatulipo siyo mpango wa Mwenyezi Mungu.
Ebutizama Raisi wa Marekani Baraka Obama     Leo hii alipo fika kwani alisha wai kuishi Indoneshia na mama yake  Ann Dunham 

alipo achana na Mr Hussein Obama
Mkenya nakuolewa na mhindoneshia Loto Saetoro






akarudishwa Marekani kuishi na wazazi wa mama yake
Stanley  Dunham babu  




na  mama yake alibaki kuendelea na masomo yake akiwa na mdogo wake raisi Maya Saetoro.
 Marakadhaa  amewai kufika Nairobi, Kenya moja ni akiwa na mama mdogo MuIsrael Mke wa pili wa Mh Hussein Obama ambaye ana mtoto anaitwa Ndesandjo Obama kwa sasa yupo China anafanya shughuli za kijamii.
Obama wakati akiwa anasoma elimu ya juu huko Harvad  amewai kuishi na ndugu wa baba yake Omar Obama 1980s pia kukutana na dada yake Auma Obama mkenya huko Chicago

nakumwelezea jinsi alivyo sikitishwa na mama yake kumwacha nakuendelea na utafiti wake huko Uindoneshia pia Obama aliweza kuambiwa kuwa mama yake walikuwa wana wasiliana na baba yao kwa siri ata kutumiwa taarifa za shule za Obama.
Yote hivi nikupitia misukosuko kumbe kuna sababu wewe uje kuwa nani ama ufanye kitugani hapa ulimwenguni siyo kujenga nyumba au kununua magari na kuajiriwa tunapaswa na sisi kuajiri pia.
Lazima tufanye kitu tujitume na kufanya tunacho kipenda namipango uliyopanga mafanikio ayaji kama zali ama kutumia njia za mikato maisha ni kama hivi
1+2 ...... , sio 1×9 Iposiku utakutana na2×0=0
Hebu tuwatizame hawa C E O wa Clouds Media Group            Joseph Kusaga 
 alipotoka mbali na ndoto zake ata mabenki yasipo kutambua hakuna kukata tamaa


 

Erick Shigongo
Mkurugenzi wa Global Publisher alipo fika Hapa Dar es Salaam, Tanzania maisha yalikuwa magumu ajira hamna ila leo hii pia ni mwandishi wa vitabu, Mjasiriamali na mshauri.
 











Diamond
mwenzetu huyo anafanya vizuri katika sekta yake ya muziki yani kazi kama kazi yake.
Nawengine wengi tu kuna mabilionea wakubwa wakujitengeneza wenywe tafuta mitandaoni akina

 Alisitisha masoma alipotambua ana kitu na lazma akifanye Ndiye mgunduzi wa  Microsoft

Thomas Edison  mgunduzi wa umeme akukata tamaa ata alipo shindwa mara 999 ya 1000 akafanikiwa balbu ikawaka














 Usitizame una kiwango gani cha elimu hivyo ninastahili kulipwa hichi! tumeshajiuliza kiasi gani kinaingia kutokana nawewe ndio upate kiasi unacho taka?
Akili ni wakili wako na Tunasoma ili tujue tunacho elewa wana saikologia wana sema hivyo, Elimu inaweza kuwa tu sehemu tu fulani maishani mwetu simaanishi tumwache. Ila tusishikilie kwamba nina degree na kuendelea ndo umeshafanikiwa maisha.
Unaweza kuwa na kila kitu ndio, Je? labda wewe nimlevi enh! ama ushajiuliza wanaokuzunguka vipi unajisikiaje kuwaona hivyo labda huna kiasi hicho cha kuwagawia, tunaweza kuwaelekeza nasio kukaa kimya namna ya kupanga mipango, ushauri itamsaidia yeye kujisikia amani na wewe roho yako hakika itafurahi
Hivyo ndio umefanikiwa kimaisha na kuifanya Dunia Mahali Pazuri Pakuishi.
(MAKE THE WORLD A BETTER PLACE TO LIVE)





No comments:

Post a Comment