Wednesday, October 22, 2014

MAREKANI - Je ? ebola ipo Tanzania


Clifford Harris,'T.I' alivyo rudi nchini kwake Marekani alikutana na haya kutoka kwa mwandishi wa habari kwamba Tanzania kuna Ebola ? Alicho kijibu ni kwamba hakuona dalili zozote za Uwepo wa Ebola hata haku fikiria ama mashaka na kuwepo kwa Ebola.

TIZAMA UONE




Sunday, October 19, 2014

KAMA ULIKOSA SERENGETI FIESTA


MAPICHA

Rapa kutoka Marekani  Clifford Harris,'T.I' alivyo ingia Dar es Salaam Tanzania 18/10/2014 Kuburudisha katika Tamasha la serengeti fiesta linalo fanyika kila mwaka kuzunguka  mikoa tofauti Kuibua vipaji vya muziki, kuburudisha jamii sambamba na mwaka huu kaulimbiu ilikuwa nikusambaza upendo
Kilimanjaro,Mwanza,Morogoro,Dodoma nasehemu nyingine nyingi tu Serengeti fiesta iliofanyika mwaka huu






MFAHAMU ZAIDI T I CLICK <<<<

Diamond kupanda na gwanda za Jeshi noma sanaa!!




Friday, October 17, 2014

LIFE INSPIRATION

(MAKE THE WORLD A BETTER PLACE TO LIVE)
Tangu hapo zamani maisha hayajawai kuwa maraisi kila mtu anasema ni magumu, Utajiri auangalii una mshahara kiasi gani ni unaweka akiba kiasi gani?
Almight Allah! atakuwa na wewe siku zote na ukimwomba kupitia yeye, Ndugu jamaa wasipo kuwa nawe kuna kitu ndani yako unacho takiwa kukitambua, tumeumbwa kwa sababu.
Ukisha tambua sababu hatima ya maishautaweza kuielewa na kufwata kiwango unachostaili kufika apatulipo siyo mpango wa Mwenyezi Mungu.
Ebutizama Raisi wa Marekani Baraka Obama     Leo hii alipo fika kwani alisha wai kuishi Indoneshia na mama yake  Ann Dunham 

alipo achana na Mr Hussein Obama
Mkenya nakuolewa na mhindoneshia Loto Saetoro






akarudishwa Marekani kuishi na wazazi wa mama yake
Stanley  Dunham babu  




na  mama yake alibaki kuendelea na masomo yake akiwa na mdogo wake raisi Maya Saetoro.
 Marakadhaa  amewai kufika Nairobi, Kenya moja ni akiwa na mama mdogo MuIsrael Mke wa pili wa Mh Hussein Obama ambaye ana mtoto anaitwa Ndesandjo Obama kwa sasa yupo China anafanya shughuli za kijamii.
Obama wakati akiwa anasoma elimu ya juu huko Harvad  amewai kuishi na ndugu wa baba yake Omar Obama 1980s pia kukutana na dada yake Auma Obama mkenya huko Chicago

nakumwelezea jinsi alivyo sikitishwa na mama yake kumwacha nakuendelea na utafiti wake huko Uindoneshia pia Obama aliweza kuambiwa kuwa mama yake walikuwa wana wasiliana na baba yao kwa siri ata kutumiwa taarifa za shule za Obama.
Yote hivi nikupitia misukosuko kumbe kuna sababu wewe uje kuwa nani ama ufanye kitugani hapa ulimwenguni siyo kujenga nyumba au kununua magari na kuajiriwa tunapaswa na sisi kuajiri pia.
Lazima tufanye kitu tujitume na kufanya tunacho kipenda namipango uliyopanga mafanikio ayaji kama zali ama kutumia njia za mikato maisha ni kama hivi
1+2 ...... , sio 1×9 Iposiku utakutana na2×0=0
Hebu tuwatizame hawa C E O wa Clouds Media Group            Joseph Kusaga 
 alipotoka mbali na ndoto zake ata mabenki yasipo kutambua hakuna kukata tamaa


 

Erick Shigongo
Mkurugenzi wa Global Publisher alipo fika Hapa Dar es Salaam, Tanzania maisha yalikuwa magumu ajira hamna ila leo hii pia ni mwandishi wa vitabu, Mjasiriamali na mshauri.
 











Diamond
mwenzetu huyo anafanya vizuri katika sekta yake ya muziki yani kazi kama kazi yake.
Nawengine wengi tu kuna mabilionea wakubwa wakujitengeneza wenywe tafuta mitandaoni akina

 Alisitisha masoma alipotambua ana kitu na lazma akifanye Ndiye mgunduzi wa  Microsoft

Thomas Edison  mgunduzi wa umeme akukata tamaa ata alipo shindwa mara 999 ya 1000 akafanikiwa balbu ikawaka














 Usitizame una kiwango gani cha elimu hivyo ninastahili kulipwa hichi! tumeshajiuliza kiasi gani kinaingia kutokana nawewe ndio upate kiasi unacho taka?
Akili ni wakili wako na Tunasoma ili tujue tunacho elewa wana saikologia wana sema hivyo, Elimu inaweza kuwa tu sehemu tu fulani maishani mwetu simaanishi tumwache. Ila tusishikilie kwamba nina degree na kuendelea ndo umeshafanikiwa maisha.
Unaweza kuwa na kila kitu ndio, Je? labda wewe nimlevi enh! ama ushajiuliza wanaokuzunguka vipi unajisikiaje kuwaona hivyo labda huna kiasi hicho cha kuwagawia, tunaweza kuwaelekeza nasio kukaa kimya namna ya kupanga mipango, ushauri itamsaidia yeye kujisikia amani na wewe roho yako hakika itafurahi
Hivyo ndio umefanikiwa kimaisha na kuifanya Dunia Mahali Pazuri Pakuishi.
(MAKE THE WORLD A BETTER PLACE TO LIVE)





AIJALISHI ITAKUCHUKUA MUDA WA MIAKA MINGAPI KUPATA UNACHOITA JI USUSA UTAJIRI
Jamaa Birdman
FUATILIA ZAIDI 


Monday, October 13, 2014



Mwalimu Nyerere alifanya mambo mengi makubwa, kitaifa na kimataifa
Alifikiri mambo ndiyo maana hakuwa na mzaha katika maamuzi yake. 
Alipenda amani iwepo kila mahali hata baada ya Tanganyika kupata uhuru, akasema asingejivunia hilo hadi pale Afrika nzima itakapokuwa huru.
Akaamua kuja na wazo la kuziunganisha Tanganyika na Zanzibar ili uwe mfano thabiti wa kile alichokuwa anakipigania. 
Alipenda usawa kwa hali na mali, ndiyo maana haikushangaza alipoanzisha Azimio la Arusha mwaka 1967 na kutaifisha uchumi uliokuwa mikononi mwa wachache huku walio wengi wakiwa katika umaskini mkubwa.
NI miaka 15 tangu Baba wa Taifa , Mwalimu Julius Kambarage  Nyerere, alipofariki dunia katika Hospitali ya St. Thomas jijini London kwa ugonjwa wa saratani ya damu (leukemia).
Alipigania kwa nguvu zote  Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Muungano wa Tanzania) wenye umri wa miaka 50 tangu 1964.
Katika miaka ya mwisho ya uhai wake hili lilionekana dhahiri ambapo alilifanya kwa vitendo, si maneno peke yake. Mwaka uliofuata wakati wa uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi alifikia mahala akasimama kidete, akisaidiana na wanachama wengine wa CCM            (pengine waliopata nguvu kuona Nyerere yupo nyuma yao), wakazima jaribio la rais wa Zanzibar wa wakati ule Dk. Salmin Amour Juma aliyetaka kuifanyia marekebisho Katiba ya Serikali ya Mapinduzi ili apate nafasi nyingine ya kugombea urais kwa mara ya tatu ifikapo mwaka 2000.
Wakati wa uchaguzi mkuu wa CCM wa mwaka 1997 Mwalimu alilazimika kwenda mwenyewe Chimwaga, Dodoma ingawa hakuwa amealikwa, na kwenda kuzima majaribio kadhaa yaliyokuwa yameandaliwa na “vijana” wa chama hicho kutaka kumng’oa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, John Samuel Malecela, na badala yake wakapanga wamchague Waziri Mkuu wa wakati huo, Fredrick Sumaye. Akafanikiwa.
Mambo haya yote yalimuudhi na kumkera sana Mwalimu kwa sababu aliamini, japokuwa hakuwa kwenye wadhifa wowote - si wa chama au serikali - kwamba kama asingesimama kidete ustawi wa Muungano, ambao ulikuwa umeanza kutishiwa tena kama ilivyokuwa miaka ile ya 1980, basi ungetetereka. Sasa CCM imeendelea kusimama kidete yenyewe inajitetea kwamba hoja ya Muungano wa Tanzania inasimama juu ya msingi wa sera ya chama hicho, ambayo inaelezwa kwamba ina ncha mbili; yaani kuulinda na kuudumisha Muungano wenyewe kwa upande mmoja na muundo wa Muungano huo kuwa wa Serikali mbili kwa upande wa pili.
CCM inaushabikia Muungano na kupania kuulinda na kuudumisha kwa sababu kwanza inaamini kuwa Muungano huo ni wa watu wenyewe na pili, uliasisiwa na vyama wazazi wake, yaani TANU na ASP. 
 Inaunga mkono muundo wa Muungano wa Serikali Mbili kwa sababu kwanza ndio ulioamuliwa na waasisi wa Muungano, Mwalimu Nyerere na Sheikh Abeid Amani Karume.
Japokuwa CCM inajinasibu kwamba muundo wa serikali mbili umeridhiwa na Watanzania wengi. Kama watu watahusishwa, basi itakuwa wakati huu wa kuelekea Kura ya Maoni katika mchakato wa Rasimu ya Katipa inayopendekezwa na Bunge Maalum la Katiba, ambayo pia imeshuhudia CCM ikipigana  kuhakikisha inapita, Lakini kama kweli Muungano huu unapaswa kuwa na mtazamo halisi wa utashi wa wananchi wote, kuna mambo mengi ya kufanya ili kufikia hatua hiyo ambayo haiwezi kuwa kero tena; iwe Muungano unakuwepo au unavunjika. Wananchi wa pande zote wanapaswa kutoa maoni yao katika harakati za kuifanyia marekebisho Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ili watoe mapendekezo yao na muundo bora wanaodhani unafaa kama serikali moja, mbili au tatu.
Jumapili mchana basi la Happy Nation la gonga mkoani Same Kilimanjaro kama picha zina vyo onesha hali alisi ilivyo kuwa

CLICK KUONA ZAIDI

Tuesday, October 7, 2014

Happy Birthday Mh. Rais.

Leo nisiku maalumu sana kwa Raisi wetu wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh/Dk Jakaya Mrisho Kikwete 07/10.