Dar es Salaam Jeshi la Polisi kanda maalum kuwatawanya wafuasi wa chama cha CHADEMA waliokuwa wakiandamana eneo la Manzese kilimani ili kupinga vikao vya bunge maalum la katiba.
eneo hilo walikuwa wamefanikiwa kufanya maandamano wakiimba nyimbo za hamasa kuonyesha kufurahishwa kwao na kutimiza lengo lao ghafla askari polisi walivamia na kuanza kufyatua risasi za moto na mabomu ya machozi kitendo kilichowafanya waandamanaji hao kukimbilia katika makazi ya watu.
Picha kutoka sehemu kama hizo husika
No comments:
Post a Comment